Sura 1 - Al-Faatiha

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
Kwa Jina La Mwenyezi Mungu, Mwingi Wa Rehema, Mwenye Kurehemu.

1:1
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
*Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu.
*In the Name of Allah, the All-beneficent, the All-merciful.
1:2
الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
*Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
*All praise belongs to Allah, Lord of all the worlds,
1:3
الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
*Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
*the All-beneficent, the All-merciful,
1:4
مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ
*Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
*Master of the Day of Retribution.
1:5
إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ
*Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
*You [alone] do we worship, and to You [alone] do we turn for help.
1:6
اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ
*Tuongoe njia iliyo nyooka,
*Guide us on the straight path,
1:7
صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ
*Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
*the path of those whom You have blessed — such as have not incurred Your wrath, nor are astray.