Sura 104 - Al-Humaza

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
Kwa Jina La Mwenyezi Mungu, Mwingi Wa Rehema, Mwenye Kurehemu.

104:1
وَيْلٌ لِكُلِّ هُمَزَةٍ لُمَزَةٍ
*Ole wake kila safihi, msengenyaji!
*Woe to every scandal-monger and slanderer,
104:2
الَّذِي جَمَعَ مَالًا وَعَدَّدَهُ
*Aliye kusanya mali na kuyahisabu.
*who amasses wealth and counts it over.
104:3
يَحْسَبُ أَنَّ مَالَهُ أَخْلَدَهُ
*Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele!
*He supposes his wealth will make him immortal!
104:4
كَلَّا ۖ لَيُنْبَذَنَّ فِي الْحُطَمَةِ
*Hasha! Atavurumishwa katika H´ut´ama.
*No indeed! He will surely be cast into the Crusher.
104:5
وَمَا أَدْرَاكَ مَا الْحُطَمَةُ
*Na nani atakujuvya ni nini H´ut´ama?
*And what will show you what is the Crusher?
104:6
نَارُ اللَّهِ الْمُوقَدَةُ
*Moto wa Mwenyezi Mungu ulio washwa.
*[It is] the fire of Allah, set ablaze,
104:7
الَّتِي تَطَّلِعُ عَلَى الْأَفْئِدَةِ
*Ambao unapanda nyoyoni.
*which will overspread the hearts.
104:8
إِنَّهَا عَلَيْهِمْ مُؤْصَدَةٌ
*Hakika huo utafungiwa nao
*Indeed it will close in upon them
104:9
فِي عَمَدٍ مُمَدَّدَةٍ
*Kwenye nguzo zilio nyooshwa.
*in outstretched columns.