Sura 110 - An-Nasr

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
Kwa Jina La Mwenyezi Mungu, Mwingi Wa Rehema, Mwenye Kurehemu.

110:1
إِذَا جَاءَ نَصْرُ اللَّهِ وَالْفَتْحُ
*Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,
*When Allah’s help comes with victory,
110:2
وَرَأَيْتَ النَّاسَ يَدْخُلُونَ فِي دِينِ اللَّهِ أَفْوَاجًا
*Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,
*and you see the people entering Allah’s religion in throngs,
110:3
فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَاسْتَغْفِرْهُ ۚ إِنَّهُ كَانَ تَوَّابًا
*Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.
*celebrate the praise of your Lord, and plead to Him for forgiveness. Indeed, He is all-clement.