| 
                بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ Kwa Jina La Mwenyezi Mungu, Mwingi Wa Rehema, Mwenye Kurehemu.  | 
            
| 
                   
                      112:1                       
                      
                          قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ                       
                      
                        *Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.                       
                      
                        *Say, ‘He is God, the One.                       
                     | 
                
| 
                   
                      112:2                       
                      
                        اللَّهُ الصَّمَدُ                       
                      
                        *Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.                       
                      
                        *God is the All-embracing.                       
                     | 
                
| 
                   
                      112:3                       
                      
                        لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ                       
                      
                        *Hakuzaa wala hakuzaliwa.                       
                      
                        *He neither bore, nor was born,                       
                     | 
                
| 
                   
                      112:4                       
                      
                        وَلَمْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا أَحَدٌ                       
                      
                        *Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.                       
                      
                        *nor has He any equal.’                       
                     |