Sura 114 - An-Naas

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
Kwa Jina La Mwenyezi Mungu, Mwingi Wa Rehema, Mwenye Kurehemu.

114:1
قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ النَّاسِ
*Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,
*Say, ‘I seek the protection of the Lord of humans,
114:2
مَلِكِ النَّاسِ
*Mfalme wa wanaadamu,
*Sovereign of humans,
114:3
إِلَٰهِ النَّاسِ
*Mungu wa wanaadamu,
*God of humans,
114:4
مِنْ شَرِّ الْوَسْوَاسِ الْخَنَّاسِ
*Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,
*from the evil of the sneaky tempter
114:5
الَّذِي يُوَسْوِسُ فِي صُدُورِ النَّاسِ
*Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,
*who puts temptations into the breasts of humans,
114:6
مِنَ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ
*Kutokana na majini na wanaadamu.
*from among the jinn and humans.’