Sura 102 - At-Takaathur

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
Kwa Jina La Mwenyezi Mungu, Mwingi Wa Rehema, Mwenye Kurehemu.

102:1
أَلْهَاكُمُ التَّكَاثُرُ
*Kumekushughulisheni kutafuta wingi,
*Rivalry [and vainglory] distracted you
102:2
حَتَّىٰ زُرْتُمُ الْمَقَابِرَ
*Mpaka mje makaburini!
*until you visited [even] the graves.
102:3
كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ
*Sivyo hivyo! Mtakuja jua!
*No indeed, soon you will know!
102:4
ثُمَّ كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ
*Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua!
*No indeed, soon you will know for yet another time!
102:5
كَلَّا لَوْ تَعْلَمُونَ عِلْمَ الْيَقِينِ
*Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini,
*Indeed, were you to know with certain knowledge,
102:6
لَتَرَوُنَّ الْجَحِيمَ
*Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu!
*you would have surely seen hell [in this very life].
102:7
ثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيْنَ الْيَقِينِ
*Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini.
*Afterward you will surely see it with the eye of certainty.
102:8
ثُمَّ لَتُسْأَلُنَّ يَوْمَئِذٍ عَنِ النَّعِيمِ
*Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema.
*Then, on that day, you will surely be questioned concerning the Blessing.