Sura 101 - Al-Qaari'a

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
Kwa Jina La Mwenyezi Mungu, Mwingi Wa Rehema, Mwenye Kurehemu.

101:1
الْقَارِعَةُ
*Inayo gonga!
*The Catastrophe!
101:2
مَا الْقَارِعَةُ
*Nini Inayo gonga?
*What is the Catastrophe?
101:3
وَمَا أَدْرَاكَ مَا الْقَارِعَةُ
*Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga?
*What will show you what is the Catastrophe?
101:4
يَوْمَ يَكُونُ النَّاسُ كَالْفَرَاشِ الْمَبْثُوثِ
*Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika;
*[It is] the day when mankind will be like scattered moths
101:5
وَتَكُونُ الْجِبَالُ كَالْعِهْنِ الْمَنْفُوشِ
*Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa!
*and the mountains like carded wool.
101:6
فَأَمَّا مَنْ ثَقُلَتْ مَوَازِينُهُ
*Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito,
*As for him, whose deeds weigh heavy in the scales,
101:7
فَهُوَ فِي عِيشَةٍ رَاضِيَةٍ
*Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza.
*he will have a pleasing life.
101:8
وَأَمَّا مَنْ خَفَّتْ مَوَازِينُهُ
*Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu,
*But as for him, whose deeds weigh light in the scales,
101:9
فَأُمُّهُ هَاوِيَةٌ
*Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya!
*his home will be the Abyss.
101:10
وَمَا أَدْرَاكَ مَا هِيَهْ
*Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo?
*And what will show you what it is?
101:11
نَارٌ حَامِيَةٌ
*Ni Moto mkali!
*It is a scorching fire!