Sura 95 - At-Tin

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
Kwa Jina La Mwenyezi Mungu, Mwingi Wa Rehema, Mwenye Kurehemu.

95:1
وَالتِّينِ وَالزَّيْتُونِ
*Naapa kwa tini na zaituni!
*By the fig and the olive,
95:2
وَطُورِ سِينِينَ
*Na kwa Mlima wa Sinai!
*by Mount Sinai,
95:3
وَهَٰذَا الْبَلَدِ الْأَمِينِ
*Na kwa mji huu wenye amani!
*and by this secure town:
95:4
لَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنْسَانَ فِي أَحْسَنِ تَقْوِيمٍ
*Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa.
*We certainly created man in the best of forms;
95:5
ثُمَّ رَدَدْنَاهُ أَسْفَلَ سَافِلِينَ
*Kisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chini!
*then We relegated him to the lowest of the low,
95:6
إِلَّا الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ فَلَهُمْ أَجْرٌ غَيْرُ مَمْنُونٍ
*Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha.
*except those who have faith and do righteous deeds. There will be an everlasting reward for them.
95:7
فَمَا يُكَذِّبُكَ بَعْدُ بِالدِّينِ
*Basi ni kipi baadaye kitacho kukukadhibishia malipo?
*So what makes you deny the Retribution?
95:8
أَلَيْسَ اللَّهُ بِأَحْكَمِ الْحَاكِمِينَ
*Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu kuliko mahakimu wote?
*Is not Allah the fairest of all judges?