Sura 99 - Az-Zalzala

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
Kwa Jina La Mwenyezi Mungu, Mwingi Wa Rehema, Mwenye Kurehemu.

99:1
إِذَا زُلْزِلَتِ الْأَرْضُ زِلْزَالَهَا
*Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake!
*When the earth is rocked with a terrible quake
99:2
وَأَخْرَجَتِ الْأَرْضُ أَثْقَالَهَا
*Na itakapo toa ardhi mizigo yake!
*and discharges its burdens,
99:3
وَقَالَ الْإِنْسَانُ مَا لَهَا
*Na mtu akasema: Ina nini?
*and man says, ‘What is the matter with her?’
99:4
يَوْمَئِذٍ تُحَدِّثُ أَخْبَارَهَا
*Siku hiyo itahadithia khabari zake.
*On that day she will relate her chronicles
99:5
بِأَنَّ رَبَّكَ أَوْحَىٰ لَهَا
*Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia!
*for her Lord will have inspired her.
99:6
يَوْمَئِذٍ يَصْدُرُ النَّاسُ أَشْتَاتًا لِيُرَوْا أَعْمَالَهُمْ
*Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao!
*On that day, mankind will issue forth in various groups to be shown their deeds.
99:7
فَمَنْ يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ خَيْرًا يَرَهُ
*Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona!
*So whoever does an atom’s weight of good will see it,
99:8
وَمَنْ يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ شَرًّا يَرَهُ
*Na anaye tenda chembe ya uovu atauona!
*and whoever does an atom’s weight of evil will see it.